PAUKWA: Mchelea mwana kulia hulia yeye mwenyewe

Taifa Leo
Published: Feb 06, 2023 12:03:25 EAT   |  Educational

NA ENOCK NYARIKI GIZA la kaniki lilitanda kote katika shule ya wavulana ya Jitahidi. Sauti pekee zilizosikika japo kwa aliyepita nje ya mabweni ya wavulana hao, ni mikoromo yao. Walikoroma mfano wa vyura bwawani. Sauti zao zilipanda na kushuka kana kwamba zilishindana na kuhimizana. Kwenye upembe huu na ule ulisikika mlio mmoja mmoja wa wadudu […]