Pasta alitoa watoto kafara?

MAUREEN ONGALA Na ALEX KALAMA FAMILIA za watoto wawili inaodaiwa walinyimwa chakula, wakauawa na kuzikwa kisiri na mama yao kwa ushirikiano na mhubiri wa kanisa lao zimetaka polisi wahakikishe kanisa hilo limefungwa. Mnamo Jumatano, polisi wa Malindi walimkamata mhubiri wa Kanisa la Good News International Ministries, Bw Paul Mackenzie katika eneo la Chakama, eneobunge la […]