Omtatah ataka vipengee tata 13 ving’olewe kwenye Mswada wa Fedha

Taifa Leo
Published: Jun 02, 2023 17:00:46 EAT   |  News

NA RICHARD MUNGUTI SENETA wa Busia Okiya Omtatah ameanza mchakato wa kuokoa wananchi kwa kupeleka kesi katika Mahakama Kuu akiomba vipengee tata 13 kwenye Mswada wa Fedha wa 2023 vinavyowalazimisha wananchi kulipa madeni, ada na ushuru vifutiliwe mbali. Bw Omtatah amesema kupitishwa na kuidhinishwa kwa mswada huo na Rais William Ruto kutakuwa kumeipa serikali idhini […]