Ombi huduma za feri ziboreshwe msimu wa likizo

Taifa Leo
Published: Dec 13, 2022 06:06:10 EAT   |  Travel

NA KNA WADAU wa sekta ya hoteli Pwani, wameomba Shirika la Huduma za Feri za Kenya (KFS) kuboresha huduma wakati huu wa likizo. Kulingana nao, idadi ya wageni inayozidi kuongezeka ukanda huo inatarajiwa kuongeza msongamano katika kivukio cha feri Likoni. Afisa Mwelekezi wa Chama cha Wahudumu wa Hoteli tawi la Pwani, Dkt Sam Ikwaye, alisema […]