Omanyala atutumua misuli akijiandaa kuwakabili wapinzani katika Diamond League nchini Italia

Na GEOFFREY ANENE MSHIKILIZI wa rekodi ya Afrika mbio za mita 100, Ferdinand Omanyala atakuwa na fursa nzuri ya kulipiza kisasi atakapokutana na Mwamerika Fred Kerley katika Diamond League mjini Florence, Italia mnamo Ijumaa. Macho pia yatakuwa kwa malkia wa mbio za 1,500m, Faith Chepng’etich Kipyegon. Majina makubwa kutoka Kenya katika mbio za 3,000m kuruka […]