ODM yaomba mbunge wa Maragua msamaha

Taifa Leo
Published: Dec 11, 2021 22:13:46 EAT   |  News

CHARLES WASONGA na MWANGI MUIRURI CHAMA cha ODM kimemuomba msamaha Mbunge wa Maragua Mary Wamaua kufuatia kisa ambapo alidhulumiwa na walinda usalama katika mkutano wa Azimio la Umoja Ijumaa. Kwenye video iliyosambaa mitandaoni siku hiyo Bi Wamaua alionekana akibishana na walinda usalama katika lango la kuingia watu mashuhuri katika uwanja wa michezo wa Kasarani, Nairobi […]