ODM kumenyana na UDA Bondeni

Taifa Leo
Published: Dec 12, 2021 17:35:16 EAT   |  News

Na VITALIS KIMUTAI CHAMA cha ODM kinachoongozwa na aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinga, kimepiga hatua na chatarajiwa kutoana jasho na United Democratic Alliance (UDA), cha Naibu Rais William Ruto eneo la Rift Valley kwenye uchaguzi mkuu ujao. Vyama hivyo viwili, pamoja na kile cha Kanu cha seneta wa Baringo, Gideon Moi, ndivyo vyama vikubwa vya […]