Obado aanza kusaka ufuasi eneo la Pwani

Taifa Leo
Published: Dec 13, 2021 07:36:42 EAT   |  General

Na WINNIE ATIENO GAVANA wa Migori, Bw Okoth Obado, ameanzisha mpango wa kusaka ufuasi katika eneo la Pwani, kwa maandalizi ya uchaguzi ujao. Akiongea Jumapili kwenye hafla ya kufungua rasmi ofisi ya kwanza ya chama hicho eneo la Changamwe, Kaunti ya Mombasa, Bw Obado alisema chama chake cha People’s Democratic Party (PDP) kitakuwa na wagombeaji […]