Nyumba Yangu: Wanariadha kunufaika kupitia ushirikiano wa AK na HFC Group

Taifa Leo
Published: May 31, 2023 06:47:16 EAT   |  Sports

AYUMBA AYODI na GEOFFREY ANENE Maelfu ya wanariadha wa Kenya wanatarajiwa kunufaika mpango wa nyumba za bei nafuu kati ya Shirikisho la Riadha Kenya na Benki ya kutoa mikopo ya ujenzi na ununuzi wa nyumba nchini (HFC Group). Pande hizo zilisaini mapatano jijini Nairobi hapo Mei 30. Ushirikiano huo utawezesha wanariadha kuweka akiba ili kuwawezesha […]