Nyumba 80 zateketea Mukuru, wakazi 200 wakilazimika kuvumilia mvua, baridi kali

Taifa Leo
Published: Sep 22, 2023 12:36:35 EAT   |  Business

NA SAMMY KIMATU WATU zaidi ya 200 walivumia baridi kali usiku baada ya nyumba 80 kuteketea usiku wa kuamkia leo Ijumaa. Naibu kamishna kaunti ndogo ya Starehe Bw John Kisang amesema moto mkubwa ulitokea katika mtaa wa mabanda wa Mukuru-Hazina, South B mwendo wa saa nane za usiku. Mwathiriwa, Bw Nicholas Koyo,48, aliyekuwa na biashara […]