Nyota ya Waiguru yaendelea kung’aa tangu ajinasue kwa sakata ya NYS

Taifa Leo
Published: Mar 29, 2024 04:50:31 EAT   |  News

NA WANDERI KAMAU KWA wengi, ingali fumbo kwamba Gavana Anne Waiguru (Kirinyga) ndiye mwenyekiti wa Baraza la Magavana (CoG). Naam, mwanamke wa kwanza kuwa mwenyekiti wa baraza hilo lenye ushawishi mkubwa katika uendeshaji wa mfumo wa ugatuzi nchini. Wadadisi wanamtaja Bi Waiguru kama mtu ambaye nyota yake ya kisiasa imeota na kung’aa  katika mazingira tatanishi […]