Nyanya, 71, akiri kuuza mihadarati Kasarani

Na JOSEPH NDUNDA MWANAMKE mwenye umri wa miaka 71 aliyekamatwa akiuza chang’aa, bangi na tembe zinazoshukiwa kuwa mihadarati nyumbani kwake Kasarani, Nairobi, amekiri mashtaka ya ulanguzi wa dawa za kulevya. Bi Susan Wanjiru Kamau alipatikana na lita 50 cha chang’aa, misokoto 40 ya bangi na tembe zinazoshukiwa kuwa mihadarati katika nyumba yake katika kijiji cha […]