Ntalami aomboleza kifo cha mbwa wake

NA MERCY KOSKEI MJASIRIMALI na mwanzilishi wa Marini Naturals, Bi Michelle Ntalami, anaomboleza kifo cha mbwa wake. Mbwa huyo kwa jina Pixel, anadai alifariki kwa njia tatanishi. Katika ujumbe mzito wa tanzia kwenye akaunti yake ya Instagram, Jumatano, Mei 31, 2023, Ntalami alieleza huzuni yake na kumtaja Pixel kama “mtoto” wake ambaye walikuwa na uhusiano […]