NJENJE: Pigo kwa wafugaji kuku nchini bei ya mayai ikishuka pakubwa

Taifa Leo
Published: May 10, 2022 21:20:29 EAT   |  General

NA WANDERI KAMAU BEI ya mayai imeshuka kwa asilimia 20 nchini kutokana na ongezeko la uingizaji wake kutoka mataifa ya nje. Hali hiyo pia imechangiwa na kushuka kwa kiwango cha matumizi ya bidhaa hiyo miongoni mwa Wakenya. Kwa sasa, kreti moja ya mayai inauzwa kwa Sh360, ikilinganishwa na Sh450 mwezi Aprili. Mwenyekiti wa Chama cha […]