Njaa kutesa Wakenya hadi 2024 – Ripoti

Taifa Leo
Published: May 30, 2023 14:35:01 EAT   |  General

NA LEON LIDIGU BAA la njaa linalohangaisha mamilioni ya Wakenya litaendelea hadi mwaka 2024, ripoti ya Umoja wa Mataifa (UN) imeonya. Ripoti hiyo inaonyesha kuwa Kenya ni miongoni mwa nchi zilizo na idadi kubwa ya watu wanaoandamwa na makali ya njaa duniani. Nchi nyingine zinazokabiliwa na baa la njaa ni Pakistan, Jamhuri ya Afrika ya […]