Nitakushinda tena 2027, Ruto amwambia Raila

NA WYCLIFFE NYABERI RAIS William Ruto amemtaka kinara wa ODM Raila Odinga asitishe maandamano na badala yake ampe nafasi awatimizie Wakenya ahadi alizotoa wakati wa kampeni. Ruto akiwa kwenye ziara katika eneo la Gusii, amemsuta Bw Odinga kwa maandamano ya Jumatatu wiki jana hasa jijini Nairobi na Kisumu aliyosema yalisababisha uharibifu mkubwa wa mali, huku akisema […]