Nimesikia fununu kwamba huyu chali akilamba ‘bakuli’ anakuwa jeuri

Taifa Leo
Published: Sep 29, 2023 19:25:39 EAT   |  General

SHANGAZI; Nina mpenzi ambaye nampenda kwa dhati. Amekuwa akiniambia ananipenda pia. Hata hivyo, nimesikia ana tabia ya kutumia wanawake kisha kuwatema. Nimeambiwa na mwanamume rafiki yake. Nipe ushauri.Utakosea kuchukulia habari hizo kuwa za kweli hasa kama hujaona dalili za yeye kutokuwa mwaminifu kwako. Labda rafiki yake anataka kuharibu uhusiano wenu. Kama ana tabia hiyo utajua […]