Nimekuachia Mungu, Samidoh aambiwa na mke kwa sababu ya kuchepuka

Taifa Leo
Published: Feb 24, 2023 18:00:31 EAT   |  Technology

NA SAMMY WAWERU NDOA ya mwimbaji wa nyimbo za Mugithi, Samuel Muchoki maarufu kama Samidoh iko kwenye mizani. Hii ni baada ya mke wa mwanamuziki huyo, Edday Nderitu kuandika kwenye ukurasa wake wa Facebook ujumbe anaokiri kupitia mahangaiko chungu nzima katika ndoa. Wawili hao wameishi kwenye ndoa kwa miaka 15, na Edday amesema ‘hana lolote […]