Nilivyomjua Sajini Nyawira: Mwanajeshi huyo mpiga picha alikuwa kipenzi cha wanahabari

Taifa Leo
Published: Apr 20, 2024 02:55:11 EAT   |  General

NA KALUME KAZUNGU “KALUME Kazungu, uko wapi? Bado dakika chache tuondoke wajua. Fanya hima.” Hayo mara nyingi ndiyo yaliyokuwa matamshi ya Sajini Roselyne Nyawira wakati akinihimiza kuharakisha kufika, iwe ni kwenye uwanja mdogo wa ndege wa Mokowe kuabiri helikopta yao kuelekea msitu wa Boni, ama kwenye uwanja wa Ndege wa Manda, hasa punde kunapokuwa na […]