Ni vigumu kubashiri EPL sasa!

Taifa Leo
Published: Dec 13, 2021 04:31:51 EAT   |  Sports

Na MASHIRIKA MKUFUNZI Pep Guardiola wa Manchester City amekiri kuwa ushindani mkali unaotamalaki kampeni za Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) msimu huu huenda ukashuhudia mshindi wa kipute hicho akianza kujidhihirisha katika raundi chache za mwisho wa muhula. Hii ni baada ya Liverpool, Chelsea, Manchester United na Arsenal ambao pia ni wawaniaji halisi wa taji la […]