Ni kweli Mackenzie anataseka gerezani, tume ya haki yaambia mahakama

Taifa Leo
Published: Sep 27, 2023 14:41:12 EAT   |  General

NA MKAMBURI MWAWASI TUME ya Kitaifa ya Haki za Binadamu (KNHCR) imekubaliana na mshukiwa mkuu wa vifo vya Shakahola, Bw Paul Mackenzie, kwamba haki zake nyingi zinakandamizwa akiwa kizuizini. Kulingana na ripoti iliyowasilishwa mahakamani Shanzu na tume hiyo, imebainika malalamishi mengi ya Bw Mackenzie na washukiwa wengine tisa kuhusu hali mbaya wanayopitia gerezani ni kweli. […]