Neymar alitaka kasri la vyumba 25 kabla ya kuhamia klabu ya Saudia

NA MASHIRIKA NEYMAR alitaka kasri la vyumba 25, bwawa la kuogelea na chumba cha kujituliza kwa mvuke maalum, wafanyakazi na wanane wa kusafisha nyumba, limefichua jukwaa la Kihispania la Cope. Jukwaa hilo linaongeza kwamba Neymar alitaka magari tisa ya kifahari na mahitaji yote ya usafiri, mikahawa na hoteli yagharimiwe na wasimamizi wa klabu ya Al-Hilal. […]