NEMA yataka maoni yatolewe kuhusu ujenzi wa hoteli ya Raila

Taifa Leo
Published: Aug 07, 2023 04:00:30 EAT   |  Travel

NA VALENTINE OBARA MAMLAKA ya Kitaifa ya Kusimamia Mazingira (NEMA), imetoa wito kwa umma kuwasilisha maoni kuhusu mpango wa kampuni ya kinara wa ODM, Bw Raila Odinga, kujenga hoteli Malindi. Kampuni ya Kango Enterprises Ltd, ambayo Bw Odinga ni mmoja wa wakurugenzi, imenuia kujenga hoteli hiyo kando ya bahari katika eneo la Mayungu, Kaunti ya […]