Ndugu ya marehemu mume wangu ananiangalia kwa macho ya kutisha, daktari amwambia hakimu

Taifa Leo
Published: Mar 22, 2023 16:24:05 EAT   |  General

NA RICHARD MUNGUTI NDUGU wawili wanaoshtakiwa kwa ulaghai wa Sh700 milioni walieleza mahakama ya Milimani kwamba sheria ya urithi humzuia mshukiwa wa mauaji kurithi mali ya marehemu. Na wakati huo huo Dkt Nisha Sapra anayeshtakiwa kumuua mumewe, Yogesh Madan Sapra mwaka 2005, amemsihi hakimu mkuu Susan Shitubi amwamuru mmoja wa ndugu hao aache kumwangalia vibaya […]