Ndoto ya BBI lazima itatimizwa, Uhuru asema

Taifa Leo
Published: Dec 12, 2021 22:21:23 EAT   |  News

Na BENSON MATHEKA RAIS Uhuru Kenyatta jana Jumapili alisema kuwa ndoto yake ya kubadilisha katiba ya Kenya iliyopitishwa 2010 kupitia Mpango wa Maridhiano (BBI), lazima itatimia japo mchakato huo ulisitishwa na Mahakama. Akihutubu alipoongoza nchi kuadhimisha sherehe za 58 za Jamhuri Dei jijini Nairobi, Rais Kenyatta alisema BBI iliahirishwa tu na kwamba ni lazima mianya […]