Ndege yatua ghafla, yakwaruza ukuta shuleni Guara

NA JAMES MURIMI NDEGE 5Y-CIU ya shule ya mafunzo ya urubani ya Mt Kenya Flight School, imetua ghafla shuleni Guara na kuharibu sehemu moja ya darasa. Walimu wa shule hiyo ya msingi na sekondari ya chini, wamelazimika kuwaambia wanafunzi warudi nyumbani. Hakuna mwanafunzi aliyejeruhiwa. Nao manusura wawili waliokuwa kwenye ndege hiyo wamepelekwa katika hospitali ya […]