Ndege yapata ajali uwanjani JKIA

NA MWANDISHI WETU SHUGHULI za uokozi zinaendelea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) jijini Nairobi baada ya ndege moja kupata ajali. Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Nchini (KAA) imeripoti ikisema itatuma maelezo zaidi ya kilichotokea. Tunaandaa habari kamili…