Napoli yamuomba radhi Osimhen baada ya kumkejeli alipokosa penalti

Na LABAAN SHABAAN Klabu ya Napoli nchini Italia imemuomba radhi mshambuliaji Victor Osimhen kufuatia kisa ambapo akaunti yao ya TikTok ilimkejeli nyota huyo alipokosa kufunga penalti. Ajenti wa mshambulizi huyo matata katika ligi kuu ya Seria A Roberto Calenda amesema video hiyo ‘imemwathiri sana mchezaji wao.” “Kilichofanyika leo katika akaunti rasmi ya Napoli TikTok haikubaliki. […]