Namwamba awatuza wanahabari kwenye hafla ya kufana

Taifa Leo
Published: Aug 09, 2023 15:30:39 EAT   |  Travel

NA TOTO AREGE HISTORIA imewekwa Jumatano wakati Waziri wa Michezo Ababu Namwamba amewatuza wanahabari 195 wa michezo kwa mara ya kwanza kabisa. Hafla hiyo imeandaliwa katika hoteli ya Weston jijini Nairobi. Akizungumza katika hafla hiyo, Bw Namwamba amewatunuku wanahabari 195 wa michezo na watengenezaji wa video za kupakiwa kwenye majukwaa mbalimbali mtandaoni. “Katika kila mfanyalo, […]