Namuomba Mungu wa mwisho awe ni wewe – Hamisa Mobetto

Na MWANDISHI WETU MWANAMITINDO wa Tanzania, Hamisa Mobetto ameandika ombi lake kuhusu mahusiano yake na mpenziwe. Kwenye ujumbe wake, Mobetto alisema kuwa anamuomba Mungu mpenziwe Kevin Sowax awe wa mwisho huku akiambatanisha picha yao. Mobetto ambaye amekuwa kwenye mahusiano na watu tajika ikiwemo, mwanamuziki Diamond Platnumz na Rick Ross, hajabahatika kudumu kwenye mapenzi nao. Hata […]