Najib Balala alaumiwa kwa kuangusha hoteli za kifahari Nyeri

Taifa Leo
Published: Aug 13, 2023 14:30:05 EAT   |  Travel

NA MWANGI MUIRURI  MFANYABIASHARA na mwanasiasa Thuo Mathenge amemlaumu aliyekuwa Waziri wa Utalii katika serikali ya Uhuru Kenyatta kwa kusambaratika kwa biashara za hoteli kubwa Mlima Kenya. Alisema hoteli za kifahari katika eneo la Mlima Kenya zikiwemo Treetops, Outspan, Green Hills na White Rhino zilifungwa kutokana na Waziri huyo kukandamiza biashara za burudani eneo hilo. […]