Naibu Gavana ahofia ODM kupoteza ugavana Kaunti ya Kilifi

NA ALEX KALAMA NAIBU Gavana wa Kaunti ya Kilifi, Bw Gideon Saburi, ameeleza wasiwasi kwamba huenda Chama cha ODM kikakosa kushinda kiti cha ugavana wa kaunti hiyo kwenye uchaguzi ujao. Kulingana naye, kuchelewa kwa mgombeaji ugavana wa ODM, Bw Gideon Mung’aro, kuchagua mgombea mwenza kunazidi kuathiri kampeni zake. “Tukiwa tutakuwa bado tunavutana miguu wale wengine […]