‘Nabii Yohana wa Tano’ ahojiwa na maafisa wa DCI, polisi

NA JESSE CHENGE MHUBIRI wa kanisa la Muungano Church for All Nations, Geoffrey Nakalira Wanyama,83, almaarufu ‘Nabii Yohana wa Tano’ ametii agizo la kufika mbele ya maafisa wa Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) na polisi mjini Bungoma kuhojiwa kuhusu kanisa lake. ‘Yohana wa Tano’ inadaiwa kwamba aliandika Biblia yake yenye vitabu 93 […]