Mzozo wa DPP na IPOA kuhusu askari watundu

Taifa Leo
Published: Dec 09, 2023 14:29:35 EAT   |  News

NA MWANGI MUIRURI NJAMA mpya za kuwakinga maafisa wa polisi watukutu kutoka kwa mashtaka mahakamani imezinduliwa, huku kukitolewa taarifa kesi zote kuwahusu ziwe zikiwasilishwa kwa makao Makuu ya Mkurugenzi wa Mashtaka (ODPP) ili kupewa mwelekeo. Kupitia barua rasmi kutoka kwa ODPP ikiwa na sahihi ya Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma Bw Victor Mule, utaratibu sasa […]