Mzee wa jamii ya Boni adai hakuna cha kujivunia Madaraka Dei

Taifa Leo
Published: May 31, 2023 21:23:45 EAT   |  News

NA KALUME KAZUNGU HUKU Kenya ikiadhimisha miaka 60 tangu kupata uhuru (Madaraka) kutoka kwa Mkoloni, mzee Badaa Abala,80, kwake hakuna cha kujivunia. Yeye ni mmoja wa Wakenya wanaotoka kwa jamii ya walio wachache ya Boni ambao makao au ngome yao kuu ni msitu wa Boni katika Kaunti ya Lamu. Akizungumza na Taifa Leo kijijini kwao […]