Mzee arushwa jela kwa ulaghai wa shamba

Taifa Leo
Published: Jun 01, 2023 08:02:10 EAT   |  General

Na RICHARD MUNGUTI MZEE wa miaka 60 atakula maharagwe kwa miaka mitatu gerezani baada ya kupatikana na hatia ya ulaghai wa shamba mjini Nanyuki, Laikipia miaka minne iliyopita. Gabriel Njoroge Mbuthia alifungwa na hakimu mwandamizi mahakama ya Milimani Bw Bernard Ochoi. Bw Ochoi aliyempata na hatia Mbuthia ya kughushi cheti cha umiliki wa shamba la […]