Mwezi mzima bila masomo katika JSS

NA WAANDISHI WETU MWEZI mmoja tangu wanafunzi wajiunge na Sekondari ya Msingi (JSS), wengi wao katika shule za umma wamekuwa wakihudhuria leseni zao darasani, bila masomo kuendelea. Umekuwa mwezi mzima wa kukaa bure, huku walimu wakuu na maafisa wa elimu wakijaribu kila mbinu kupata walimu wa kusaidia kufunza. Shule nyingi maeneo mbalimbali nchini zinakumbwa na […]