Mwendeshaji bodaboda ashtakiwa kwa kujifanya mke wa Gachagua

Taifa Leo
Published: Feb 18, 2023 17:08:06 EAT   |  Technology

Na RICHARD MUNGUTI MWENDESHAJI bodaboda ameshtakiwa kwa kufungua mtandao wa Facebook wa kupokea pesa akijifanya yeye ni mke wa Naibu Rais Rigathi Gachagua. Hakimu mkuu mahakama ya Milimani Lukas Onyinga alifahamishwa Blaise Wafula Nabiswa na Jacklyne Tokesi wamewafuja maelfu ya wananchi pesa wakidai watawasajili katika wakfu wa Mama Care Initiative Loan wakisema unadhaminiwa na Bi […]