Mwanamuziki Muigai wa Njoroge akana ‘kumdhuru’ msanii Dennis Mutara

NA WANDERI KAMAU UTATA unaomkumba mwanamuziki maarufu wa nyimbo za injili, Dennis Mutara, sasa umechukua mkondo mpya, baada ya baadhi ya wenyeji wa eneo la Kati kusema masaibu yake yamechangiwa na baadhi ya wanamuziki wenzake. Mjadala kuhusu masaibu ya mwanamuziki huyo yalizua mijadala mikali katika mitandao ya kijamii, baadhi ya watu wakimhusisha mwanamuziki wa injili […]