Mwanamuziki maarufu wa injili ajikwaa na kuzama tena ulevini, alazwa hospitalini

Taifa Leo
Published: Sep 12, 2023 03:55:55 EAT   |  Entertainment

NA WANDERI KAMAU MWANAMUZIKI maarufu wa nyimbo za injili kutoka eneo la Kati, Bw Dennis Mutara, amelazwa hospitalini, duru zikieleza amezongwa tena na uraibu wa pombe. Bw Mutara alilazwa katika hospitali moja Kaunti ya Murang’a, Jumatatu mchana Septemba 11, 2023, na Wasamaria Wema waliofika nyumbani kwake katika eneo la Maragua. Ijapokuwa watu walio karibu naye […]