Mwanamuziki Dennis Mutara hatimaye aruhusiwa kuondoka hospitalini

NA WANDERI KAMAU MWANAMUZIKI maarufu wa nyimbo za injili, Dennis Mutara, hatimaye ameruhusiwa kuondoka hospitalini, baada ya kulazwa kwa karibu wiki mbili, kutokana na kile kilitajwa kuwa uraibu wa vileo. Bw Mutara ni miongoni mwa wanamuziki waliovuma katika ukanda wa Mlima Kenya katika miaka ya hapo nyuma, kutokana na nyimbo zake maarufu kama ‘Tigana na […]