Mwanamume ashtakiwa kwa kumuua mzazi sababu ya ‘kumkazia’ pesa za matibabu

NA TITUS OMINDE MWANAMUME anayedaiwa kumuua babake aliyekuwa na umri wa miaka 68 baada ya mzee huyo kukataa kumpa pesa za kwenda hospitalini kwa matibabu, ameshtakiwa kwa mauaji. Kijana huyo mwenye umri wa miaka 32 alishtakiwa baada ya ripoti ya uchunguzi wa kimatibabu kutoka hospitalini kuthibitisha kwamba alikuwa sawa kiakili kujibu mashtaka. Upande wa mashtaka […]