Mwanamke amenivutia na ni mrembo mno, nahisi hawezi kunikubali. Naomba ushauri wenu

Taifa Leo
Published: Sep 27, 2023 19:25:54 EAT   |  General

SHANGAZI; Nina umri wa miaka 30. Kuna mwanamke amenivutia kimapenzi na ninaamini kuwa yeye pia ananipenda. Ni mrembo sana na naogopa kumwambia kwani sina hakika kama atanikubali. Naomba ushauri wako.Uhusiano wa kimapenzi hutokana na wawili kupendana. Unapotafuta mpenzi ni lazima uwe tayari kukataliwa. Unaweza kukataliwa na wanawake kadhaa kabla upate anayekupenda. Mfungulie moyo wako ili […]