Mwanamke aliyeangamia Shakahola na mtoto alitafuta mhubiri wa kufufua mumewe

Taifa Leo
Published: Mar 28, 2024 15:50:02 EAT   |  News

NA WYCLIFFE NYABERI SIMANZI ilitanda katika kijiji cha Radienya, eneobunge la Nyatike, Kaunti ya Migori mnamo Alhamisi wakati wa mazishi ya Bella Ouma na bintiye Lisa, ambao walikuwa miongoni mwa watu walioaga dunia kwa mfungo tata msituni Shakahola. Familia iliyofiwa hata hivyo haijatulia kwa sababu binti mwingine wa Bi Ouma bado haijulikani aliko. Kulingana na […]