Mwanahabari mkongwe apumzishwa

NA KEYA NEWS AGENCY MWANAHABARI mkongwe Salim Mohammed aliyehudumu katika Huduma ya Mawasiliano ya Rais (PPS), Sauti ya Kenya na BBC, amepumzishwa leo Alhamisi mjini Mombasa. Mwanahabari huyo aliaga dunia na kuzikwa katika Makaburi ya Kiislamu ya Sarigoi kuambatana na Imani ya Kiislamu. Marehemu ni baba mkwe wake mfanyabiashara wa Mombasa, Bw Abubakar Joho. “Alikuwa […]