Mwanafunzi asuka makuti akisaka karo kuingia shule ya upili

Taifa Leo
Published: Feb 20, 2023 06:54:01 EAT   |  Educational

NA ALEX KALAMA  MWANAFUNZI mmoja kutoka familia isiyojiweza katika kijiji cha Gahaleni eneo bunge la Malindi kaunti ya Kilifi anafanya kazi ya kusuka makuti akisaka fedha za kumwezesha kujiunga na shule ya upili. Rabecca Salama aliyekamilisha masomo yake ya darasa la nane katika shule ya msingi ya Airport mjini Malindi na kupata alama 329 amesema […]