Mwanafunzi akiwa na bidii ‘day school’ atapita tu – chifu

NA ALEX KALAMA CHIFU wa eneo la Chakama lililoko Adu katika Kaunti ya Kilifi Raymond Msinda Charo amewataka wazazi ambao watoto wao hawajajiunga na Kidato cha Kwanza kupeleka watoto wao katika shule za kutwa ili kupunguza gharama ya masomo. Huku akiwataka wazazi kuondoa kasumba kwamba shule za kutwa hazifanyi vyema. Akizungumza katika kijiji cha Kanduru […]