MWALIMU WA WIKI: Okwalo ni mtunzi na mwalimu stadi

Na CHRIS ADUNGO JOHN Okwalo Wambani alianza kuvutiwa na ualimu akiwa mtoto mdogo. “Walimu walikuwa watu wa kustahiwa katika jamii na walikuwa wamepiga hatua kubwa kimaendeleo. Ualimu ilikuwa, na bado ni kazi yenye hadhi na tija,” anasema. Bi Kendeli na Bw Andrew Shikanda waliomfundisha Okwalo katika Shule ya Msingi ya Mumias Complex ndio walimvuvia mwanafunzi […]