MWALIMU WA WIKI: Mwalimu kiongozi alengaye uhadhiri

Taifa Leo
Published: Feb 13, 2023 15:04:51 EAT   |  Educational

Na CHRIS ADUNGO MWALIMU aliye na wito wa kufundisha na mapenzi ya dhati kwa taaluma yake, ana jukumu la kuchochea wanafunzi wake kupiga hatua kubwa katika safari ya elimu inayohitaji subira na moyo wa kujitolea. Zaidi ya kuwafahamu wanafunzi wake kwa jina, mwalimu bora sharti awe na bidii na msukumo wa kutaka kujifunza mambo mapya. […]