Mwalimu anayetembea na risasi mguuni kwa miaka 8

Taifa Leo
Published: Sep 07, 2023 05:45:35 EAT   |  Educational

NA KASSIM ADINASI SHAMBULIO la kigaidi la Aprili 2, 2015, katika Chuo Kikuu cha Garissa lilisababisha kiwingu cha huzuni baada ya watu 148 kupoteza maisha naye Mwalimu James Odongo akiachwa na majeraha baada ya kupigwa risasi mara tatu. Mwalimu huyo ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 48 ni baba wa watoto watano na majuzi alimpoteza […]